Home Gospel Songs Goodluck Gozbert – Kimya Kimya

Goodluck Gozbert – Kimya Kimya

0

Tanzanian gospel music maestro called, Goodluck Gozbert drops this amazing tune tagged, Kimya Kimya, which was released in the year 2023.

Multi-talented Christian singer, Goodluck Gozbert comes through with this amazing song tagged, Kimya Kimya. He released this intriguing tune in the year 2023 and was taken off his much-accepted studio extended playlist tagged, Ushindi, which houses six solid and dope tracks.
The record, Kimya Kimya was outlined as the 2nd track of the EP. The prolific and talented singer from Tanzania, Goodluck Gozbert really put pen to paper on the project, which will surely keep you excited as you listen to the tracks one after the other.

Kimya Kimya is a great and awesome piece of music that will worth a space in your playlist. Goodluck Gozbert really did justice to the instrumental, one would love to hear over and over again.

You can’t afford to miss out on a chance to enjoy this soul-lifting song Listen, Download Goodluck Gozbert – Kimya Kimya Audio & Don’t forget to Share your thoughts using the comment box below

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MP3 SONG

Video: Goodluck Gozbert – Kimya Kimya

Kimya Kimya Lyrics By Goodluck Gozbert

Verse 1

Yeye abomoaye Boma
Nyoka Atamwuma
Bwana Anichimbiaye Shimo
Atatumbukia Humo
Sababu Hii Najua Mimi napendwa
Tena Si wa dunia Nilishantengwa Iyee
Maagano na Mungu
Najua Enhee Shida Sio Mawingu
Na Mvua Eeh Akisema
Nitalima Mtaona Ninalima
Akisema Nitavuna Mtaona Ninavuna

Bridge

Sio Kosa Langu Bwana Ninapendwa
Na Mungu Vile Unanichukia Wanionea Bure,
Wote Alitukufia Karibu nawe Unywe

Chorus

Ukitaka Kununa,
Nikasirikie Kimya Kimya
Kunichichimbia Shimo
Utatumbukia Humo Humo

Verse 2

Dunia Dunia, Inayo mambo ayee
Watu watu, Wanayo mambo ayee
Ukasema Ufatilie Rafiki zako Ni adui
Siri wanazoteta Nawe Sio Siri ngoja Nikwambie
Si Unaona Mwenzio Nikifanikiwa Sisemi
Mwendo Ni Mapambio
Nampamba Mungu Mbinguni Yusufu
Aliota Akasema Wakamuuza
Ili ninachojua Eeh, Ya Mungu Hayabadilishwi

Bridge

Sio Kosa Langu Bwana Ninapendwa
Na Mungu Vile Unanichukia Wanionea Bure,
Wote Alitukufia Karibu nawe Unywe

Chorus

Ukitaka Kununa,
Nikasirikie Kimya Kimya Kunichichimbia
Shimo Utatumbukia Humo Humo,
Enda Uliza Wale Waganga Kutoka sumbawanga
Wanajua Mimi Nalindwa
Nalindwa Ninapendwa
Uliza Wale Wachawi,

Kutoka Sumbawanga Wanajua Mimi Nalindwa
Nalindwa Ninapendwa
Oya Prokoto,
Bwana Mapepo Umeukanyaga Moto
To Mimi Sio Mwenzako,
Kacheze Makopo
Po Prokoto, Bwana Mapepo Umeukanyaga Moto,
To Mimi Sio Mwenzako, Kacheze Ma Ko Po