Home Gospel Songs Goodluck Gozbert – Sikupanga

Goodluck Gozbert – Sikupanga

0

Tanzanian gospel music maestro called, Goodluck Gozbert drops this amazing tune tagged, Sikupanga, which was released in the year 2023.

Multi-talented Christian singer, Goodluck Gozbert comes through with this amazing song tagged, Sikupanga. He released this intriguing tune in the year 2023 and was taken off his much-accepted studio extended playlist tagged, Ushindi, which houses six solid and dope tracks.
The record, Sikupanga was outlined as the 3rd track of the EP. The prolific and talented singer from Tanzania, Goodluck Gozbert really put pen to paper on the project, which will surely keep you excited as you listen to the tracks one after the other.

Sikupanga is a great and awesome piece of music that will worth a space in your playlist. Goodluck Gozbert really did justice to the instrumental, one would love to hear over and over again.

You can’t afford to miss out on a chance to enjoy this soul-lifting song Listen, Download Goodluck Gozbert – Sikupanga Audio & Don’t forget to Share your thoughts using the comment box below

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MP3 SONG

Video: Goodluck Gozbert – Sikupanga

Sikupanga Lyrics By Goodluck Gozbert

Verse 1

Tena Mimi Nilitamani,
Niende Shule Kama Wengine, Nikasome Kama Samia , Nikadilishe Hisitoria,
Ona Mimi Nilitamani,
Nirushe ndege Kote Angani, Niwe Na Sifa Ya Rubani Rubani, Nimebaki kuwa Wa Mitaani, Sijui Kosa Sijui Kosa,
Kuna Kupata Pengine Nakosa, Imezimika Imekufa Nyota,
Au Nakufuru Tu,

Bridge
Unapofikiria Kutupa Chakula
Nikumbuke Uniite
Sichagui ni Bora Nishibe
Nguo Zinazoliwa Na Panya
Kwa Kukosa Mtu wa Kuvaa
Nipatie Mi Zitanifaa
Utabarikiwa Wee

Chorus
Nakupanga Sikupanga Niwe Hivi Au Vile
Ni ya Mungu Yalipangwa Ukipata Nikumbuke

Verse 2
Kwenye Siku naweza Tukanwa
Mara Kumi Mara saba,
Kwenye moyo Pengine Kwa Kinywa Anajua Mungu Tu, Mara Nyingi Nimesingiziwa,
Sina Mtu Wa Kunitetea,
Mimi nilizaliwa Hatia Anajua Mungu Tu,
Kama Umebarikiwa Kumbuka wengine
Kwa chochote Chochote Uwahurumie Eeh,
Bridge
Unapofikiria Kutupa Chakula
Nikumbuke Uniite
Sichagui ni Bora Nishibe
Nguo Zinazoliwa Na Panya Kwa Kukosa Mtu wa Kuvaa Nipatie Mi Zitanifaa
Utabarikiwa Wee

Chorus

Nakupanga Sikupanga Niwe Hivi Au Vile
Ni ya Mungu Yalipangwa Ukipata Nikumbuke
Outro
Eeh Niombee Eeh Niombee Eeh Niombee Eeh Niombee