Home Gospel Songs Moji Shortbabaa – Kameshika

Moji Shortbabaa – Kameshika

0

Kenyan multi-talented gospel artist and composer “Moji Shortbabaa” is out with another mind-blowing song that will uplift your spirit. He calls this one “Kameshika”. Moji Shorbaba is a Kenyan gospel artist from Kelele Takatifu which consist of Didi & Moji.

You can’t afford to miss out on a chance to enjoy this soul-lifting song Listen, Download Moji Shortbabaa – Kameshika Audio & Don’t forget to Share your thoughts using the comment box below

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MP3 SONG

Moji Shortbabaa Kameshika Lyrics

Mi Mkristo napenda kukatika
Sitaki risto kangoma kameshika
Mi Mkristo napenda kukatika
Sitaki risto kangoma kameshika

Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika

Tukubaliane tunapenda kudance
Ndo nimetoa ngoma wasee jo wadance
Si hata mbinguni tunaenda tu kudance
So wacha stori we amka jo tudance

Nani ako na swali Yesu ndio jibu
Skiza gospel jo itakutibu
Haina vurugu taratibu
Ita hata mathe hii haina ma-aibu

Kameshika kama ngoma za Munishi
Vitu safi hatutaki vitu fishy
Ongeza energy ka mtu amedishi
Yesu mbele shetani hatumpishi

Tuanze za kitambo kameshika
Tukuje za kisasa kameshika
Ongeza hadi salsa kameshika
Oya twende sasa kameshika

Mi Mkristo napenda kukatika
Sitaki risto kangoma kameshika
Mi Mkristo napenda kukatika
Sitaki risto kangoma kameshika

Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika

Hebu imagine kameshika na hatujakata ma maji
Si tumetulia ka mtungi iko na maji
Haijalishi ka uko msoto ama maganji
Ah starehe bila gharama
Stima zikizima tunachukua mandarama
Si hatucomplain hakuna kulalama
Kwa Yesu ni raha hakuna madrama ah

Na by theway kwa church zi hushika
Ju tukidance baraka tunashika
Shetani ako down tushamzika
Hapa tutadance mpaka muscle pool kushika

Tuanze za kitambo kameshika
Tukuje za kisasa kameshika
Ongeza hadi salsa kameshika
Oya twende sasa kameshika

Mi Mkristo napenda kukatika
Sitaki risto kangoma kameshika
Mi Mkristo napenda kukatika
Sitaki risto kangoma kameshika

Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika

Mi Mkristo napenda kukatika
Sitaki risto kangoma kameshika
Mi Mkristo napenda kukatika
Sitaki risto kangoma kameshika

Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika
Kameshika kangoma kameshika